Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Bao la Babacar lina thamani kubwa

12 Feb 2024

Ahmed amesema ukiacha furaha ya ushindi ambayo Wanasimba wote duniani wameipata lakini limetuwezesha kupanda kutoka nafasi ya tatu kwenye msimamo hadi ya pili.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia ziara nzima ya mechi za Kanda ya Ziwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story