Banda ameanza kufanya mazoezi pamoja na wachezaji wenzake huku akiwa na hamu kubwa ya kurejea dimbani kuendelea kuisaidia timu.
Kwa upande wake rafiki wa karibu, Pape Sakho amefurahi kumuona akirejea uwanjani baada ya kupita muda mrefu huku akitarajia kupata 'asisti' nyingi kutoka kwa Banda.
Advertisement
Tazama video hadi mwisho kuona mahojiano waliyofanya wawili hao na Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally.