Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Balua kufunga sana kwa mipira ya adhabu

3 Aug 2024

Balua amesema tangu akiwa Prisons amekufanya hivyo na anaendelea kufanyia mazoezi ili kila siku kuwa bora zaidi kwenye kupiga mipira ya adhabu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Balua amezungumzia pia kuhusu ubora wa kikosi chetu na shukrani kwa mashabiki

Advertisement
Back to homepage
Share this story