Balua ambaye amefunga mabao mawili katika mechi tatu zilizopita amesema lengo letu kwa sasa ni kuhakikisha tunamaliza katika nafasi mbili za juu ili kujihakikishia kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Balua amewaomba mashabiki kuendelea kuisapoti timu ili tumalize msimu vizuri.