Akizungumzia kuhusu kucheza pamoja na wachezaji anaowafahamu hasa rafiki zake kwakuwa msimu uliopita alikuwa Prisons amesema pia ni jambo linalompa hisia kubwa na ndio maana huwa anajituma ili kuisaidia timu kupata matokeo.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Balua amezungumzia pia umuhimu wa pointi tatu katika mchezo wa leo.