Luteni Jenerali, Kingule amesema mbali na mashabiki waliosafiri kutoka Tanzania kuja kuipa sapoti timu Watanzania waliopo Zambia wameahidi kujitokeza kwa wingi Jumamosi lengo likiwa ni kupata ushindi.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho ili kujua mikakati iliyopo tangu kikosi kufika hadi siku ya mchezo.