Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Baleke amzawadia mpira wa hat trick mwanae

21 Sep 2023

Baleke amesema hii ni zawadi ambayo atampa kijana wake huku akiahidi kuendelea kufunga zaidi.

Tazama mahojiano haya mpaka mwisho kujua malengo ya Beleke kuelekea mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos mwezi ujao.

Advertisement
Back to homepage
Share this story