Baleke amesema baada ya kuona yupo katika kikosi cha kwanza kitakachocheza na Dodoma licha ya ugeni wake alichukulia kawaida kwakuwa hayo ndio maisha ya mchezaji na anakutana nayo kila anapoenda.
News
VIDEO: Baleke afunguka furaha ya kufunga bao la ushindi
23 Jan 2023