Bajaber amesema anamshukuru Mungu kwa kumuwezesha kufunga mabao mawili kwenye mechi mbili za kwanza baada ya kutoka kwenye majeraha huku alizidi kujifua kujiweka fiti ili kuisadia timu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Bajaber amezungumzia pia mchezo wa kesho dhidi ya Fufuni.