Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Bajaber afunguka historia yake ya soka

8 Aug 2025

Bajaber raia wa Kenya amesema baada ya kuzungumza na Kocha Fadlu Davids kuhusu mipango juu yake hakusita kujiunga nasi kwakuwa anaamini ni sehemu sahihi ambayo itamtangaza.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Bajaber amezungumzia pia kuhusu bao alilofunga dhidi ya Gambia akiwa na timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars'.

Advertisement
Back to homepage
Share this story