Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Bajaber afunguka furaha ya kufunga bao lake la kwanza

4 Dec 2025

Bajaber amesema hakutegemea kama angefunga katika mchezo wa leo ingawa furaha yake ilikuwa kucheza mbele ya mashabiki wa Simba ambao walikuwa wakimshangilia wakati akipasha misuli.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Bajaber amefunguka alichoambiwa na kocha Matola kabla ya kuingia uwanjani

Advertisement
Back to homepage
Share this story