Msigwa amesema timu yetu ina wachezaji bora na wanaweza kupata matokeo uwanja wowote hivyo hawatakiwi kuvunjika moyo na wawe na Imani tunaenda kupindua meza Cairo.
Tazama video hii hadi mwisho, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Salim Abdallah 'Try Again' ametoa neno baada ya kumalizika mchezo.