Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Baada ya kutinga robo sasa tunaitaka Fainali Shirikisho

12 Jan 2025

CEO Zubeda amesema malengo ya timu kwenye mchezo wa leo dhidi ya Bravos Do Marquis ilikuwa kupata pointi tatu au sare na hiyo limefanikiwa na tumefuzu robo fainali tukiwa na mchezo mmoja mkononi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho CEO Zubeda amezungumzia pia kuhusu mechi yetu ya mwisho dhidi ya CS Constantine itakayopigwa Januari 19.

Advertisement
Back to homepage
Share this story