Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Baada ya kufuzu Robo Fainali Fadlu ataka kuongoza kundi

14 Jan 2025

Kocha Fadlu amesema kwanza lengo lilikuwa kutinga robo fainali na sasa tunahitaji kushinda ili kuongoza kundi hasa ukizingatia tunacheza nyumbani.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Fadlu amewapongeza mashabiki kwa kujitoa kwa timu huku akiwaita kwa Mkapa Jumapili kumalizia kazi tuliyoianza.

Advertisement
Back to homepage
Share this story