Ahmed amesema michuano hii faida inakuwa katika Uwanja wa nyumbani kwakuwa mashabiki wanakuwa upande wako kitu ambacho tunatakiwa kukifanya katika mchezo wa Jumapili, Disemba 15 utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia ratiba ya timu kurejea pamoja na maandalizi ya mchezo unaofuata.