Mzee Dewji ambaye amembatana na timu mpaka Tunisia amesema haikuwa kazi rahisi lakini wachezaji wamepambana na Sasa tunahitaji alama moja pekee ili kufuzu hatua ya robo fainali.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mzee Dewji amezungumzia salamu tulizotumiwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.