Simba Sports Club
News Videos

VIDEO : Awesu na Onana waanza mazoezi Misri

19 Jul 2024

Wawili hao wameungana na wenzao leo asubuhi na jioni wamefanya mazoezi chini ya uangalizi wa madaktari.

Wachezaji hao wamefanya mazoezi peke yao ya kukimbia uwanja kwa ajili ya stamina kutokana na kutoka kwenye mapumziko.

Advertisement
Back to homepage
Share this story