Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Awesu, Kibu watoa ya moyoni kuelekea mchezo dhidi ya Bravos

12 Jan 2025

Viungo hao washambuliaji wamesema kila mchezaji anakuja umuhimu wa mchezo huo na yupo tayari kuhakikisha anapambana anaisaidia timu kwa ajili ya furaha ya Wanasimba wote.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kibu amegusia ushindi tuliopata mara ya mwisho nchini Angola dhidi ya Primiera De Agosto.

Advertisement
Back to homepage
Share this story