Awesu amesema pasi anazopiga zikishindwa kufika kwa walengwa amekuwa akizomewa lakini zikifanikiwa kama ile aliyompa Zimbwe Jr imetoa faida na kusaidia kupatikana kwa penati.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Awesu amezungumzia furaha anayopata kutoka kwa mashabiki.