Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Awesu ataja siri ya ushindi dhidi ya TMA

11 Mar 2025

Awesu amesema pamoja na ushindi huo lakini mchezo ulikuwa mgumu lakini maelekezo ya walimu waliyopata ndio Siri ya ushindi huo.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Awesu ameweka wazi kuwa kuwa malengo yetu ni kuhakikisha tunatwaa ubingwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story