Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Awesu afurahia ndoto yake kutimia

3 Aug 2024

Awesu amesema alikuwa anatamani siku itokee kupata nafasi ya kuvaa jezi ya Simba na leo imetimia kitu ambacho kimeweka historia na furaha kubwa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Awesu amezungumzia pia sapoti ya mashabiki.

Advertisement
Back to homepage
Share this story