Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Awesu afunguka baada ya mazoezi ya kwanza Misri

19 Jul 2024

Awesu amesema baada ya kujiunga nasi kilichobaki ni kufanya kazi kwa bidii ili kuisaidia timu kufanya vizuri na kufikia malengo.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Awesu amezungumzia anavyouona msimu mpya utakavyokuwa

Advertisement
Back to homepage
Share this story