Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ateba na Che Malone wazungumzia ushindi dhidi ya Constantine

19 Jan 2025

Ateba ambaye ametufungia bao la pili amesema hali ya kujiamini kwa wachezaji pamoja na benchi la ufundi kumechangia kufanikisha malengo tuliyojiwekea.

Tazama video hii hadi mwisho Che Malone ameweka wazi furaha ya kumaliza mechi tukiwa na Clean Sheet.

Advertisement
Back to homepage
Share this story