Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ateba na Ahoua wazungumzia ushindi dhidi ya Sfaxien

5 Jan 2025

Ateba amesema wachezaji wote wamepambana kuhakikisha ushindi unapatikana ingawa haikuwa mechi rahisi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahoua amezungumza furaha yake ya kufunga bao la ushindi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story