Ateba amesema ilikuwa muhimu kwetu kupata ushindi katika mchezo Leo hasa ukizingatia tupo kwenye mbio za kuwania taji la ligi msimu huu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ateba amezungumzia pia kuhusu mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravo Do Marquis kutoka Angola.