Ateba amesema kila mchezaji wa Simba anafahamu umuhimu wa mchezo wa kesho na yupo tayari kupambana mpaka mwisho kuhakikisha tunapata matokeo chanya ili mechi ya pili nyumbani tusiwe na presha kubwa.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ateba amezungumzia maandalizi mazima kuelekea mchezo huo.