Ateba amesema Simba ni timu kubwa na katika kila mashindano mwisho wake inahitaji kuchukua ubingwa hivyo kila mchezaji anajituma ili kufanikisha hilo.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ateba amezungumzia pia kuhusu mechi inayofuata dhidi ya Dodoma Jiji.