Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ateba afurahia kufunga bao la kuipeleka timu Robo Fainali

12 Jan 2025

Ateba amesema licha yakuwa nyuma kwa muda mrefu wachezaji walikuwa wana matumaini tutarudisha na kuongeza ndio maana hawakukata tamaa mpaka mwisho.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ateba amelitoa bao hilo kwa familia, mashabiki na Wanasimba wote.

Advertisement
Back to homepage
Share this story