Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ateba afunguka umuhimu wa ushindi dhidi ya Ken Gold

18 Dec 2024

Ateba amesema haikuwa mechi rahisi kama wengi walivyodhani lakini wamepambana hadi ushindi ulivyopatikana.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ateba amezungumzia furaha ya kufunga mabao yote yaliyoipa ushindi timu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story