Ateba ambaye analijua vizuri soka la Algeria kutokana na kuwahi kuchezea USM Alger amesema itakuwa mechi ngumu lakini tunaweza kupata matokeo chanya.
Tazama vide hii hadi mwisho Ateba amezungumzia pia kuhusu changamoto ya hali ya hewa