Ateba amesema malengo yake ni kuhakikisha anafunga kila anapopata nafasi ili kuisaidia timu kutwaa mataji na kufanya vizuri kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ateba amezungumzia mipango yake kuelekea msimu huu ambao ndio kwanza umeanza.