Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Asha Baraka, Mzee Dalali watoa neno kwenye Dua ya Hayati Mhe. Mwinyi

23 May 2025

Kwa upande wake Mwenyekiti wazamani wa Klabu, Mzee Hassan Dalali amesema tulimtia simanzi Hayati Mhe. Mwinyi kwa kushindwa kumpa ubingwa wa Afrika mwaka 1993 lakini Jumapili tutampa furaha mtoto wake Dkt. Hussein Ali Mwinyi.

Tazama video hii hadi mwisho Mzee Dalali ametoa ushahidi kwa njia ya namba ya kile kitakachotokea Jumapili.

Advertisement
Back to homepage
Share this story