Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Amsha amsha zaanza Magomeni Mikumi

26 Mar 2024

Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kwa ajili ya kuhamasisha wengine kuja kwa wingi uwanjani Ijumaa.

Tazama hadi mwisho video hii kuona jinsi ilivyokuwa wakati tunaanza Magomeni Mikumi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story