Ahmed amesema hamasa ya leo ni tofauti kuliko nyingine zilizowahi kufanyika kutokana na jinsi mashabiki walivyojitojeza kwa wingi na muda wote wanaimba na kucheza.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed ameelezea kuhusu upatikanaji wa tiketi.