Ahmed amesema kinachoifanya Simba kufanya vizuri sio kucheza kwenye uwanja wa Mkapa bali ni ubora wa wachezaji tulionao na tunaweza kushinda popote na tutadhihirisha hilo kesho katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia maandalizi mazima ya mchezo wa kesho.