Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ally Salim azungumzia maandalizi ya kambi Zanzibar

23 Mar 2024

Ally amesema baada ya droo kukamilika na kuonekana tumepangwa na Al Ahly wachezaji waliamini ni muda wetu wa kufuzu hatua ya nusu fainali licha ya ubora wao lakini kila kitu kinawezekana.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ally amezungumzia pia kuhusu historia ya kushiriki mechi zote za robo fainali katika miaka hii mitano ambayo tumefanikiwa kuingia.

Advertisement
Back to homepage
Share this story