Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ally Salim awaita mashabiki kuchukua ubingwa wa Afrika kwa Mkapa

27 Apr 2025

Ally amesema mashabiki kazi yao ni kuhakikisha wanakuja kwa wingi kwa Mkapa na kushangilia mwanzo mwisho halafu kazi ya ndani ya uwanja wawaachie wachezaji.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ally ametoa kauli nyingi za kishujaa

Advertisement
Back to homepage
Share this story