Ally amesema tulianza mchezo pole pole ndio maana City walipata bao la mapema lakini tulivyochangamka tuliweza kusawazisha na kuongeza mengine mawili.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ally ametoa neno kuhusu mechi ya nusu fainali ya CRDB Federation Cup.