Ally amesema hakuna jambo jingine zaidi ya kusikiliza maelekezo ya kocha na ndicho kinachompa hali ya kujiamini akiwa katika lango wakati wa kupiga mikwaju ya penati.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ally amezungumzia kucheza penati za nyota Gadiel Michael na Medie Kagere ambao tulikuwa nao kwenye kikosi chetu huko nyuma.