Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ally Salim amtaja Kocha 'Clean Sheet' dhidi ya Coastal

1 Mar 2025

Salim amesema Kocha amekuwa akitaka makipa wote wawe katika viwango sawa ili inapotokea dharura kusiwe na changamoto yoyote kwahiyo ndio maana amekuwa kwenye kiwango safi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ally amezungumzia mchezo mzima ulivyokuwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story