Katika mchezo huo uliofanyika katika Uwanja wa Highland Estate ulikuwa ni wa kwanza kwa Ally kudaka msimu huu na ameonyesha kiwango bora kilichofanya kuwa gumzo kila kona.
Ally amesema kitu kilichompa changamoto katika mchezo wa jana ni hali ya hewa ya jua kali wakati akiwa kwenye Mfungo wa Mwezi Mkutufu wa Ramadhani.