Ahmed amesema mazoezi ya timu yatakuwa yanafanyika usiku kwenye muda ule ule ambao mchezo utachezwa ili kuwafanya wachezaji kuzoea hali ya hewa ambayo ni baridi.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia wachezaji waliokuwa na kikosi cha Taifa Stars ambao walitangulia.