Simba Sports Club
News Videos

Video: Alichosema Robertinho kabla ya kuifuata Al Ahly Kocha

21 Oct 2023

Robertinho amesema mabadiliko ya kuwaingiza Sadio Kanoute, Jean Baleke na Israel Patrick yalileta athari chanya kwenye mchezo wa jana wa African Football League (AFL) dhidi ya Al Ahly ambao ulimalizika kwa sare ya kufungana mabao mawili.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Robertinho amezungumzia pia kuhusu maandalizi ya mchezo huo wa marudiano.

Advertisement
Back to homepage
Share this story