Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Alichosema Robertinho baada ya kurejea Dar

25 Oct 2023

Robertinho amewapongeza wachezaji kwa kazi kubwa waliyoifanya kuanzia walioanza hadi walioingia kutokea benchi katika dakika zote 90.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Robertinho amezungumzia pia kuhusu mechi zetu zijazo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story