Mzamiru ameweka wazi kuwa mchezo dhidi ya CS Sfaxien utakaopigwa Jumapili utakuwa mgumu kwakuwa ni ugenini lakini kila mchezaji atakayepata nafasi kucheza atakuwa tayari kuipambania timu kupata ushindi.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Mzamiru amezungumzia pia kuhusu hali ya hewa ya hapa Tunisia.