Mangungu amesema Wanasimba tumeshirikiana katika kipindi chote cha Wiki ya Simba kwa kutoa kwa jamii huku pia tukiunga mkono jitihada za Serikali za kutangaza Utalii.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mangungu amewaomba Wanasimba kuwahi mapema uwanjani ili kuupunguza usumbufu usio walazima.