Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Alichosema Mukwala baada ya kuia KMC

11 May 2025

Mukwala amesema ukiwa mshambuliaji lengo la kwanza uwanjani ni kufunga mabao ili kuisaidia timu kupata ushindi vingine ni nyongeza.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Mukwala amezungumzia kuhusu vita ya ufungaji bora msimu huu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story