Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Alichosema Morice baada ya ushindi dhidi ya Nsingizini

19 Oct 2025

Morice amesema malengo yalikuwa kupata ushindi ugenini na yamefanikiwa kilichobaki ni kumalizia kazi kwenye mchezo wa marudiano wiki ijayo.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Morice amezungumzia 'asisti' aliyotoa kwa bao la pili lililofungwa na Kibu Denis.

Advertisement
Back to homepage
Share this story