Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Alichosema Mgunda baada ya ushindi dhidi ya Ceasiaa

20 Dec 2023

Mgunda amesema baada ya kuwasoma kipindi cha kwanza na kuyajua mapungufu na ubora walionao cha pili tuliweza kuwamudu vizuri na kupata ushindi huo.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mgunda amewamwagia sifa wachezaji pamoja na benchi lake la ufundi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story