Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Alichosema Mgosi baada ya ushindi dhidi ya Tausi FC

13 Jan 2026

Mgosi amesema baada ya kupata mabao matatu kipindi cha kwanza ilibidi awaambie wachezaji wapunguze kasi ili kutunza nguvu kwakuwa upinzani ulio mbele yetu ni mkubwa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mgosi amefunguka mengi kuhusu mchezo huo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story